Suphian Juma
Senior Member
- Apr 2, 2019
- 140
- 577
Labda mazwazwa wenzake, amejihoji mwenyewe maana hata kwenye siasa hana mvuto wowote analazimisha tu. Sijui hawa wanayiramba wamelongwa na nani ukiangalia Mwigulu, kitila, Gwajima, Nyalandu na huyu hawajui hata wanafanya nini zaidi ya kuhabatisha tu na ndugu zao kuishi kwenye nyumba za tembe.Wakina nan hao waliokuona unafaa?
Samahani chief.SIJAITUPA TASNIA YA HABARI.
Kuna watu walipendezwa mno na kipaji changu katika tasnia ya habari, na hivyo kunisihi kutoacha kufanya jambo licha ya kuendelea na tasnia ya siasa sasa...
Jamani Ahsanteni sana kwa kunijali; namalizia maandalizi ya kuanzisha Online TV yangu nitakayoajiri vijana kuiendesha kwa kiwango cha kisasa na ubunifu mkubwa. Na wenye kupenda kunisapoti kufanikisha hili milango ipo wazi.
TUOMBE UZIMA!!
Suphian.
View attachment 1807792
Don Nalimison njoo ukutane na ndugu yako hukuSIJAITUPA TASNIA YA HABARI.
Kuna watu walipendezwa mno na kipaji changu katika tasnia ya habari, na hivyo kunisihi kutoacha kufanya jambo licha ya kuendelea na tasnia ya siasa sasa...
Jamani Ahsanteni sana kwa kunijali; namalizia maandalizi ya kuanzisha Online TV yangu nitakayoajiri vijana kuiendesha kwa kiwango cha kisasa na ubunifu mkubwa. Na wenye kupenda kunisapoti kufanikisha hili milango ipo wazi.
TUOMBE UZIMA!!
Suphian.
View attachment 1807792
Lile shati la ccm ulipewa n bashiruSIJAITUPA TASNIA YA HABARI.
Kuna watu walipendezwa mno na kipaji changu katika tasnia ya habari, na hivyo kunisihi kutoacha kufanya jambo licha ya kuendelea na tasnia ya siasa sasa...
Jamani Ahsanteni sana kwa kunijali; namalizia maandalizi ya kuanzisha Online TV yangu nitakayoajiri vijana kuiendesha kwa kiwango cha kisasa na ubunifu mkubwa. Na wenye kupenda kunisapoti kufanikisha hili milango ipo wazi.
TUOMBE UZIMA!!
Suphian.
View attachment 1807792
duhMusiba anasema wewe n shoga kupitia gazeti lake haujakana hiz shutumaView attachment 1808484
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Legacy ya jiwe hii..Musiba anasema wewe n shoga kupitia gazeti lake haujakana hiz shutumaView attachment 1808484