Suplementary kwa walimu wa astashahada ya ualimu

damashizo

Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
61
Reaction score
15
Serikali imesikia kilio cha wanachuo wa ngazi ya Cheti(astashahada) a.k.a Grade A kwa kuwaruhusu kufanya mitihani ya marudio kwa masomo ambayo watafeli. Kabla ya halo ilikuwa mwanachuo akifeli somo la Ualimu hatakama atafaulu masomo yaliyosalia alikuwa anapoteza sifa ya kuwa mwalimu. Vile vile ilikuwa kama akifeli masomo matatu wembe uleule wakutopata ualimu. Kwa sasa kama mtu atafeli atakuwa anarudia mtihani akifeli tena atarudia mwaka wa pili full time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…