Habari zenu wakuu,
Nilidakwa katika masomo kadhaa sasa nimeshafanua supp nasubiri matokeo, lakini naona mara hii hawa jamaa wameganda sana kutoa matokeo, mpaka ivi sasa sijaona ya kwangu na wenzangu nao hawajayaona yao (Banking and Finance-diploma 2nd year). Chuo nacho kinafunguliwa J3 sasa sijui mambo haya vipi! Chuo hakipo organized kabisa kwenye kufanya mambo, jamani mwenye taarifa yoyote naomba anijuze, nimechoka kusubiri. Kisha ningependa kujua kama wanatoa transfer, maana nataka nibadilishe mazingira niingie chengine if possible