Supper skinny with a big butt!!!!!!!!

Supper skinny with a big butt!!!!!!!!

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
8,756
Reaction score
7,005
Habari zenu wapendwa!!!

Jamani eeh.......! mwenzenu kuna bidada anataka kunikaba koo mie kisa tu na yeye anataka kuwa kimodo mwenye big butt!!!!!!!

Mwanzoni nilichukulia masihala sasa jana katia tim home kwangu na kunisisitizia tena,,,, kiukweli bishost wangu ni bonge mbayaaaa...... na ana kakalio cha kishikaji na anapenda apungue sana maeneo ya juu ya mwili wake kuanzia kiunoni kwenda juu afananie na shost ake hahahaaa!!!!!!!!!. Mimi kama Lady doctor ushauri niliompa ni kwamba ajikubali the way alivyo maana haya mambo yapo kigenetics zaidi...... 'some people just have good genetics while others don't'!! au afanye diet na mazoezi ya kutosha lakini najua hatoweza kuwa hivyo anavotaka!

Natamani kumpa ushauri wa kuridhisha zaidi ya huo nilio toa, maana inadhihirisha fika bibie hajikubali....!

Nahitaji mawazo yenu ambayo najua yatakuwa msaada kwake na kwa wengine wenye fikra kama hizo!

''Always remember to keep your head high and be proud of yourself''

Nawasilisha!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
so hii title yako ni how you describe yourself?
noted.
 
hehehehe...wish I could land my eyes on that dondola/nyigu body of yours. Hahaha.
 
Aanze kufanya mazoezi ya kupunguza mafuta kwanza then atafanya mazoezi ya kujenga mwili....
 
Afanye mazoezi sana lakin its not an overnight Process.........yahitaji moyo sana
 
hivi wachina waishaondolewa kule kariakoo, maana nasikia hawashindwi kitu
 
Back
Top Bottom