Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
Ale healthy pia shosti vyipsi na kuku asahau...ni mboga za majani kwa kwenda mbele na michemsho...thanks! Ushauri mzuri pia!
hivi wachina waishaondolewa kule kariakoo, maana nasikia hawashindwi kitu
ushauri tafadhali!
hehehehe...wish I could land my eyes on that dondola/nyigu body of yours. Hahaha.
Ushauri upi?
wa kukonda au kunenepesha wowowo?
kunenepesha wowowo muulize miss strong nimewahi ona anamshauri mtu
Ale healthy pia shosti vyipsi na kuku asahau...ni mboga za majani kwa kwenda mbele na michemsho...
Ale healthy pia shosti vyipsi na kuku asahau...ni mboga za majani kwa kwenda mbele na michemsho...
wakukonda i mean kutengeneza figa #6
White meat is the healthiest which includes fish and chicken(Kifua cha kuku ndo kina mafuta kidogo asile ngozi ina mafuta)...nyama anaweza kubalance sometimes mara moja mpaka mbili kwa wiki....Hapo kwenye mchemsho, unamaanisha mchemsho wa ng'ombe,kuku au samaki?
Si ndo ataongeza kitambi!
lol I will reserve the answer for my own good..
We nawe huachi visa...kumbe bado upo huko tu...u can pm the answer..
Ushauri upi?
wa kukonda au kunenepesha wowowo?
kunenepesha wowowo muulize miss strong nimewahi ona anamshauri mtu
We nawe huachi visa...kumbe bado upo huko tu...
Poa...Mambo?
Poa...
Mkuu The Boss ina maana miss strong kanenepesha wowowo lake? Mi nilipomwona nilijua natural.....
My pleasure what kind of drink are you referring to?Wanna offer you a drink kwa maushauri uliyotoa hapa, karibu!