Supplementary and special examination (sekomu) ni majanga

sabai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
69
Reaction score
7
hapa, nilipo nipo sekomu, takribani wanafunzi 100 wapo kat(ika hekaheka za supp and special, shida ni kwamba wengi wao hajaweza kufika kufanya mitihani hiyo kisa pesa board hawajaleta ila mazungumzo yanaendelea na vc, dr. Aneth munga ila takribani 50 wafanye huo mtihani wakati kuna subira toka board weng wao ni first year a.k.a jkt, swali ni kwanini hiki chuo kufanyiza watu suppand special katikati ya semester badala ya mwishoni mwa semister(sept.conference) hiki kinaweza kikawa kigezo kwa nn hiki chuo ni cha kata hakina hata prof. Hata mmoja kweli ni majangaaaaaaaaaaaaaaaa
 
sekomu ndo nini tena jamani,, hivi vyuo!!?
 
Hahahahah mtu unasoma SEKOMU? hiyo ni kozi mpya au ni kitu gani?
 
Vyuo vingine bwana.Yani hamna Professor hata mmoja!.Kweli kuishi kwingi kuona mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…