Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hii Azam ni ya Bakhressa?Azam Polysacks Ltd
Harsho packaging Ltd
Cheki na hao manufacturers
Daslam.
Lete namba ya simu ?Daslam.
Nipe bei weweLete namba ya simu ?
Bei yako?
Idadi?
Ninayo ya kutosha na pia tunaweza weka makubaliano nakukusanyia idadi unayotaka
Amani iwe nawe
Rangi kijaniNipe bei wewe
Ya kilo 25 bei gani kwa jumla.
Ya kilo 50 bei gani kwa jumla?
NdioHii Azam ni ya Bakhressa?
Habari mkongwe? Bado unafanya hii biashara?Rangi kijani
25 kg ni 300
50 kg ni 500
MIFUKO UNAYOHITAJI NI YA AINA GANI MKUU HUJAFAFANUA AINA YA MIFUKO UNAYOHITAJIMambo yasiwe mengi,
Nahitaji supplier mwenye mfuko ya kilo 25 na kilo 50 kwa bei ya jumla alete quotation yake na contact au physical address tufanye biashara.
Karibuni.