Parabora
JF-Expert Member
- Jul 6, 2019
- 1,504
- 2,203
Namtafuta supplier wa samaki aina ya sangara na sato kutoka Mwanza, nahitaji kufahamu mambo haya kutoka kwake
1. Bei ya kilo moja kwa sato na sangara kwa jumla samaki wakiwa mwanza ili na mimi niwauze kwa jumla nikiwa Dar.
2. Namna watakavyozipack katika vifurushi na kuzigandisha kabla ya kuzisafirisha (ningependelea
walio na coldroom zao kwa Mwanza kwa ajili ya kazi hii).
3. Mabondo ya samaki nilionunua yafungwe kwenye furushi lake na kusafirishiwa pamoja na samaki (nitatuma mwakilishi wangu kusimamia na kuona ubora wa samaki).
4. Gharama za usafiri kwa kila furushi la kilo 100 mpaka mahari nilipo Dar.
5. Awe na uwezo wa kusupply kilo 300 za sato na 500 za sangara kwa kila wiki.
6. Awe na mtu Dar awepo kipindi napokea mzigo ili kuhakikisha kama mzigo nilio pokea uko sahihi kwa kilo na haujaharibika.
Aliye serious nitampa namba ya mawasiliano kwa mtu aliye huko Tz kwa mawasiliano zaidi.