BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Idadi kubwa ya wananchi Tanzania ni wajasiriamali Tena wadogo wenye mitaji inayochechemea licha ya mitaji kuwa midogo bado wanategemea huo ujasiriamali kuweza kukidhi gharama za maisha kama Kodi na chakula. Tatizo linaanza pale biashara inapoonza kukosa wateja automatically maisha ya mjasiriamali yanaanza kuwa magumu na hata kupelekea kufunga biashara.
Popote ulipo Mtanzania support Mtanzania mwenzako as long una pesa we nunua hata kama sio mtumiaji wa hiyo bidhaa ni Bora ununue umpe mtu mwingine au utupe jalalani unapofanya hivyo unakuwa umeplay role kubwa kuwezesha Mtanzania/Watanzania wenzako kusurvive haswa katika wakati huu mgumu.
Biashara za Sasa zimekua za kuanika na kuanua kitu kinachowaumiza wajasiriamali financially mpaka psychological the only way to help them ni kufanya purchasing yaani we need to support our local business ili zitoke stage Moja kwenda nyingine.