Suprise ndani ya distance love... inafaa?

haha haaaaaaaaaaa, pole mwaya kwenye hii safari ya mapenzi hadi usettle kutendwa na kutenda ni lazima, bila hivyo unakuwa hujakomaa.😉

na kweli mapenzi ni safari ndefu ambaye hajakumbana na mikasa amshukuru mungu wake
 
Hivi miaka hii bado kuna watu wanatafuta Bikira?

sana tuu mkuu mimi sijaoa hadi leo naitafuta iyo kitu bana so far nikimcheki demu hana hata mzigo simegi naachana nae ipo siku nitapata hata kule Ngarinanyuki.....
 
First lady umenukumbusha kuna JEmba moja yenyewe ilifanyiwa suprise na mkewe acha ikutwe iko na demu mwingine,ilikuwa kasheshe ila ilibidi msamaha tu Bwana alijitetea eti alizidiwa, Bwana alikuwa anafanya kazi Shinyanga na Mke alibaki Dar pamoja na familia
 
Suprise hiizi bwana huwa zina madhara makubwa mapenzi yenyewe ya bongo mh
 
Suprise hiizi bwana huwa zina madhara makubwa mapenzi yenyewe ya bongo mh

Mimi nakubaliana nawe kabisa MJO1. Unaweza kujiumiza roho tu. Na wapenzi wengine kwenye LDR hata wale wanaoishi mji mmoja hili la kufanyiana surprise linakuwa ni moja ya taratibu zao kwamba kama unataka kuja kwangu nifahamishe kabla siyo kujizukia tu bila taarifa.
 
Na wapenzi wengine kwenye LDR hata wale wanaoishi mji mmoja hili la kufanyiana surprise linakuwa ni moja ya taratibu zao kwamba kama unataka kuja kwangu nifahamishe kabla siyo kujizukia tu bila taarifa.

Mkuu hapa tupo ukurasa mmoja, na ichukuliwe kuwa kwa kutoa taarifa ni namna moja tu ya kuonyesha ustaarabu-na pia kumwandaa mwenzio kisaikolojia na kimazingira pia!
 
 
Kibongo bongo suprise haina maana utajiua na presha bure,, watu wenyewe hatuaminiani utulivu ziro, ya nini kufa kwa ajili ya mapenzi
 
The infamous kizunguzungu je kuna suprise ?
 
 
 
 
kaka xpin utapigwa talaka kaka, lazima uwe mkweli mamamsap asije pata kigugumizi cha kukufanyia suprise. Wengine tunaogopa suprise na ndo kama yaliyomkuta jamaa, unaweza kuzimia nje ya geti, halafu wakiamka asubuhi wanakuta njemba ipo mlangoni haijiwezi.
 
...Surprise nyingine ni kutaka kuji surprise mwenyewe. Busara ni kumfahamisha ujio wako, unless hujiamini, humuamini na kusudio ni kujaribu kufumania.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…