Suprise nyingine hazifai.......Kuna mipaka bana!

Yaani hilo tukio alilofanya la kukusurprise ndio limekufanya umtoe kwenye hadhi ya kuwa g/f!! Dah.. Wanawake jamani tuna kazi sana..

Simwachi kabisa mamito namshusha kidogo ili ajifunze kujifunza............Ila tunayo wote!!
 
Braza!! khaa......mimi nilitaka kumrudisha kwenye urafiki....unaona sawa kuwa na mtu ambaye anaweza kutoka kwao alfajiri kuja kupiga blah blah kwa b/f? (labda ingekuwa kuna element za ambush ningeelewa)

Mkuu wewe ndo unaona ni blah bla, lakini kwake it means a lot......., tena nina uhakika hapo ana amani kubwa sana moyoni mwake kwani amekukuta siyo alivyotarajia au alivyokuwa anakuwazia. We usim-frustrate kabisa kwa kumshangaa alivyokuibukia bila taarifa mida ya ajabu ajabu hiyo!
 
Kutokana na yaliyotokea namtafutia category yake

Kumbe hana hata category? lol! huyo hata nyumbani hana ruhusa ya kukanyaga mpaka pale utakapoona anastahili kupata promotion.
 
Platozoom, si vizuri kuingia kwenye mahusiano kama hauko tayari. Si vizuri kucheza na feelings za mwenzio kwani unaweza jitafutia laana.

Kuna sex workers wa kutosha tu, kama umezidiwa na mhemko. Ni wazi kuwa humpendi mwenzio ndio maana kuja kwake alfajiri wakuona kero. Kwa wanaolilia mapenzi, wangefanyiwa hivyo siku yao ingekuwa ya raha. Be man enough kueplain what kind of relationship u want with the girl kuliko kuja kutulalamikia humu ambapo mimi naona ni kama boosting fulani,

Kiukweli, umenidisappoint sana.
 
Braza!! khaa......mimi nilitaka kumrudisha kwenye urafiki....unaona sawa kuwa na mtu ambaye anaweza kutoka kwao alfajiri kuja kupiga blah blah kwa b/f? (labda ingekuwa kuna element za ambush ningeelewa)

Hujampenda tu huyo mwanamke maana sijaona sababu ya kum- under estimate kiasi hicho. Ungekuwa haujampa uhuru wa kuja kwako tangu mwanzo then wala asingekuibukia alfajir..lakin yeye alijiaminisha kufanya coz anajua anaenda kwa beibe wake...
 
Pole mamito,umeudhikaa.....sijasema nimechukia ila sikupenda huo ushangazo the rest umekuwa mzaha.Umenielewa eeh au unataka kumwita Eiyer na misemina yake ya kuponda chama
 
Last edited by a moderator:

Basi yamekwisha....yanayofuata ni mzaha tena!
 
Pole mamito,umeudhikaa.....sijasema nimechukia ila sikupenda huo ushangazo the rest umekuwa mzaha.Umenielewa eeh au unataka kumwita Eiyer na misemina yake ya kuponda chama

Now u r being a good boy l am used to! U bet ningemuita aje akupe za uso!
 
Last edited by a moderator:
Now u r being a good boy l am used to! U bet ningemuita aje akupe za uso!

Santeee...Halafu Eiyer bado bikra hajajua hii misukosuko usimpe credit sana atakupoteza!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…