Supu day ya Yanga ni kafara linatolewa baada ya kuifunga Simba 5-0 ni masharti ya mganga wao

iyokichiku

Member
Joined
Oct 30, 2023
Posts
36
Reaction score
70
Hizi ni habari za uhakika kabisa kutoka chanzo kinachoaminika kwamba SUPU DAY ya leo ni ukamilishaji wa maelekezo ya mganga wa yanga ambapo baada ya ushindi wanatekeleza maagizo hayo kwa jina la SUPU DAY.
Chonde chonde wanasimba msishiriki kwenye upuuzi huo.
 
Aliyezitangaza hizo ng'ombe ni tahira wenu Bashite basi nae ni sehem ya kafara?.
 
Siyo kweli aliyetoa hao ng'ombe wa tano ni Makonda, (ni shabiki wa simba) hata simba wana ng'ombe mmoja
 
Shabiki wa simba Makonda kuchangia kafara ya timu yake umbumbu shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…