Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Huwa nashangaa sana nikiwa kwenye ziara zangu huko jijini Dar es salaam. Utakuta supu ya ng'ombe au kuku inauzwa buku nne mpaka sika. Tena kwenye baa za kiwango kikubwa lakini ukionja unakuta hazina kiwango kabisa. Husikii harufu ya ya supu ya kuku au ng'ombe. Supu yenyewe majimaji tu yaani haina kiwango kabisa.
Lakini mikoani huku unakuta supu ya ukweli na inavutia kabisa na ladha ya asili lakini bei nzuri kabisa na ukiwa na Hangover unainjoi vizuri kabisa
Sijui tatizo nini juu ya supu za Das laam?
Lakini mikoani huku unakuta supu ya ukweli na inavutia kabisa na ladha ya asili lakini bei nzuri kabisa na ukiwa na Hangover unainjoi vizuri kabisa
Sijui tatizo nini juu ya supu za Das laam?