Nyingine sio ng'ombe ni mbwa, paka, kuwa makini mkuu maisha ni mapambano.Huwa nashangaa sana nikiwa kwenye ziara zangu huko jijini Dar es salaam. Utakuta supu ya ng'ombe au kuku inauzwa buku nne mpaka sika. Tena kwenye baa za kiwango kikubwa lakini ukionja unakuta hazina kiwango kabisa. Huzikii harufu ya ya supu ya kuku au ng'ombe. Supu yenyewe majimaji tu yaani haina kiwango kabisa.
Lakini mikoani huku unakuta supu ya ukweli na inavutia kabisa na ladha ya asili lakini bei nzuri kabisa na ukiwa na Hangover unainjoi vizuri kabisa
Sijui tatizo nini juu ya supu za Das laam?
Mbeya supu ya kuku ikizidi sana 5000, ya ng'ombe 2000 ukiongeza na chapo mbili wanakutoka watatu tu na tumbo linakuwa full.
Ukweli,kwa Dar hizi supu za 1500,2000,ni balaa,unaweza kukuta nyama imeoza,au huwa wanapewa nyama iliyokaa kwenye friji kwa muda mrefu,inakalibia kuharibika,Huwa nashangaa sana nikiwa kwenye ziara zangu huko jijini Dar es salaam. Utakuta supu ya ng'ombe au kuku inauzwa buku nne mpaka sika. Tena kwenye baa za kiwango kikubwa lakini ukionja unakuta hazina kiwango kabisa. Huzikii harufu ya ya supu ya kuku au ng'ombe. Supu yenyewe majimaji tu yaani haina kiwango kabisa.
Lakini mikoani huku unakuta supu ya ukweli na inavutia kabisa na ladha ya asili lakini bei nzuri kabisa na ukiwa na Hangover unainjoi vizuri kabisa
Sijui tatizo nini juu ya supu za Das laam?
Mbeya supu ya kuku ikizidi sana 5000, ya ng'ombe 2000 ukiongeza na chapo mbili wanakutoka watatu tu na tumbo linakuwa full.
Ukweli,kwa Dar hizi supu za 1500,2000,ni balaa,unaweza kukuta nyama imeoza,au huwa wanapewa nyama iliyokaa kwenye friji kwa muda mrefu,inakalibia kuharibika,
Pale bandarini sehemu ya kupandia boat za Zenj,niliwahi kulishwa nyama iliyooza kabisa
Hapo kwa wasomali ni panaitwa Bex cafe na hapo kwenye hakuna kulala panaitwa P square ndio hata mm comment yangu imepalenga hapo, pembeni yake pia kwa Omary supu bei hiyo hiyo ya uchumi wa kati na imezingatia kushiba.Kuna chimbo moja uyole pale vibar vya pale chini zinapopaki costa za hakuna kulala buku tano kuku wa kienyeji unawekewa na firigisi kuna maza bonge hivi anatumia na ndizi tatu safi kabisa, ukishindwa kuna wasomali hapo hapo uyole buku mbili jero unaweza kushinda unajamba tu
Hapo kwa wasomali ni panaitwa Bex cafe na hapo kwenye hakuna kulala panaitwa P square ndio hata mm comment yangu imepalenga hapo, pembeni yake pia kwa Omary supu bei hiyo hiyo ya uchumi wa kati na imezingatia kushiba.
Mbeya msosi sio kipaumbele maana karibia migahawa yote(iwe high class au ya vichochoroni) msosi bei inaanzia buku tena unashiba.