Supu na michemsho kwenye mabaa ya Dar es salaam hazina kiwango ukilinganisha na tunazokula mikoani.

Nakumbka zamani kiria bar kinondoni supu saa moja tu asubuhi iko tayari watu tupo Hapo unapiga supu na unashushia safari zako 2 mapema tu

Pr Camp walikuwa na supu nzuri pia

Hugo mwembe jini pale mchemsho wao
Ulikuwa safi

Opposite na makaburi ya kinondoni sahv breakpoint kuna jamaa alikuwa na supu safi sehemu Ilikuwa ndg Ila watu walikuwa wanajaaa

Tmk kisuma walikuwa vzr nao

Siku hizi ulipuaji tu hakuna kitu
Supu inajazwa mimaji tuuuuu

Ova
 
Supu za kwwnye bar ni majanga tupu
 
😂🤓
 
Tmk kisuma miaka ya nyuma kidogo. Zungumzia 2010 kurudi nyuma supu ilikuwa ahueni.
 
Itv kutusumbua na marudio ya Uzalo maana yake nini
 
Kweli wewe ni ''mtu wa mikoani''. Karne hii bado unasifia supu zenye mafuta mengi na harufu! Dunia ya kistaarabu walishapita huko. Vyakula la kijanja ni vile visivyo na mafuta mengi na vinatengenezwa kiutaalam kwa kuwekwa viungo kiasi ambacho harufu na ladha inakuwa nzuri sana! On serious note: Sisi huku Afrika tunapenda michemsho yenye mafuta na nyama isiive kupitiliza.
 
Mkuu Idugunde kumbuka Dar wajanja wengi.
Kuku tunaoita wa kienyeji huku kwa ajili ya supu ni wale waliokwisha kutaga mayai 200--300.
Nyama ya ng'ombe huku ziko aina mbili na haijalishi ni bar ya viwango au klabu ya wanzuki. Kuna nyama ya buchani na Kuna nyama ya straight from machinjioni. Wewe umekula ile straight from machinjioni.
Vile vile Dar Kuna ujanja mwingine. Huko kwenu usweken mbwa akigongwa na gari nasikia mnazika, huku anachunwa na kuchanganywa kwenye supu kwenye mabar .
Ile nyama inayobaki kwenye mabucha huuzwa kwa Bei poa kwa watengeneza supu.
Siku nyingine ukija hebu kaa kaunta ya jikoni, utaona Kuna pande Fulani la nyama liko pembeni, kila aagizaye supu lazima akatiwe kapisi kadogo kutoka kwenye hilo pande.
Jiulize Hilo pande ni nyama ya nini?
 
Upo sahihi kabisa,misosi mingi ni ya hovyo hovyo tu hapa mjini
 
Ng'ombe wanaokuja Dar huwa wananenepeshwa kwa kuwadunga sindano za Steroids ili wawe na bei nzuri.

Ndio maana unaikuta nyama ya Dar ya ajabuajabu.

Ramadhan Kariim safari hii futari yangu Vegeterian.
 
Tafuta pesa kijana

Dar ndio kila kitu, chakula unapata kulingana na kipato chako
 
Hasa maeneo ya Bunju, watu hawana muda wa mapishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…