Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Kwa wale wapenzi,ndugu jamaa na marafiki mnaopenda kupata supu ya kichwa cha mbuzi habari hii inawahusu!
Jana nilipita baa moja nikakuta vichwa vya mbuzi vinaandaliwa kwa ajili ya supu,walikuwa wanatoa vinyweleo/manyoya ya kichwa kwa kutumia VIWEMBE!viwembe hivihivi tunavyotumia kukatia kucha,kunyolea nywele za kichwani kwapa na hata mgodini!
Kwa kweli nilichoka kabisa,kama sio used vile sijui,eeh Mungu baba utunusuru na yatokeayo mbali ya upeo wa macho yetu