Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Kwa wale wapenzi,ndugu jamaa na marafiki mnaopenda kupata supu ya kichwa cha mbuzi habari hii inawahusu!
Jana nilipita baa moja nikakuta vichwa vya mbuzi vinaandaliwa kwa ajili ya supu,walikuwa wanatoa vinyweleo/manyoya ya kichwa kwa kutumia VIWEMBE!viwembe hivihivi tunavyotumia kukatia kucha,kunyolea nywele za kichwani kwapa na hata mgodini!
Kwa kweli nilichoka kabisa,kama sio used vile sijui,eeh Mungu baba utunusuru na yatokeayo mbali ya upeo wa macho yetu
dah! wew umepita maeneo ya kkoo nini?? vile vichwa ni vitam balaa. umesahau kongoro na samaki??
samaki wanakatwa kwa wenbe ule mstari wa katikat, kongoro inachunwa kwa wembe.
lkn sijui ni ustaarab wa wapi manake kule kwetu machame uwa tunachuna kwa kuunguza vinyweleo kwenye moto kisha kuvipaa kwa kisu hadi vinatakata kabisa.
kuhusu gloves mmh! hili halijanikalia vzr manake ni mitu kinacoweza kubeba uchafu kuliko hata mkono. hata kama unamhudumia mgonjwa utavaa wakati wa kumwosha ila wakati wa kumlisha huwa unashauriwa zivuliwe kumaitain usafi.
Si vinachemshwa mkuu, wacha tunywe supu ya vichwa vya mbuzi....................!
Kuna nyama choma ya Pum.b* za mbuzi ulisha test.........................?:madgrin:
Nazidi kukupata kumbe kwenu machame..................!:becky::madgrin:

Na je ukienda hoteli ukakuta wanahudumia huku wamevaa gloves kama za hospitali? si utakimbia?
Lakini ni bora wahudumu wavae gloves kuliko wakiwa na mikono yao naked, wanashikashika kila lishikwalo afu wanakuhudumia.
Sehemu zingine, kila mtu akitaka kujishika anavua glovesa anatupa, akitaka kuendelea na huduma anavaa mpya.
Hata hiyo bar, sidhani kama wataenda okota nyembe za baba mwenye bar waje wacumia mbuzi, kama wembe ni mpya sioni tatizo.
Mbona kuna mkasi wa jikoni? Wakati zamani mkazi ulikuwa kwa ajili ya nywele na v.zi tu
ah mi firigisi wala siachi pacha!we af umenikumbusha ngoja nipige simu niweke order nitazipitia nikiwa narudi home!ila bana firigisi za pale maeneo?wacha kabisa!Kibongobongo ukianza kufuatilia haya makitu hutakaa ule chochote mtaani mpwa...
Kwanza bora hata umejua hivyo ni vichwa vya mbuzi..kuna sehemu hachinjwi mbuzi ila unaambiwa 'kambwa kenyewe kalikuwa kadooogo'.... snowhite njoo umshangae huyu..hivi kwa style hii hata zile firigisi zitaliwa kweli!..si itakuwa full kujishuku!!.................
Na je ukienda hoteli ukakuta wanahudumia huku wamevaa gloves kama za hospitali? si utakimbia?
Lakini ni bora wahudumu wavae gloves kuliko wakiwa na mikono yao naked, wanashikashika kila lishikwalo afu wanakuhudumia.
Sehemu zingine, kila mtu akitaka kujishika anavua glovesa anatupa, akitaka kuendelea na huduma anavaa mpya.
Hata hiyo bar, sidhani kama wataenda okota nyembe za baba mwenye bar waje wacumia mbuzi, kama wembe ni mpya sioni tatizo.
Mbona kuna mkasi wa jikoni? Nimependa unavyotaja vu.z
Ina ladha ya kipekee yani ni tamu balaa......