Supu ya kongolo inachochea shoo za kibabe kwenye mizagamuo

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Shalom,
Mimi kama Chief Mapenzi nina ujumbe wenu hapa.

Tukumbushane au tupeane madini ya kazi kazi au shoo shoo, soup ya kongolo ni baba lao, soup ya kongolo the big dady kwenye shoo kali.

Usijeukamtafuta mchawi chukua hii ikusaidie.

Ijumaa Kareem

Wadiz a k.a Chief Mapenzi
 
Haya wale wanaokunywa supu za miguu ya ngombe njooni mtoe ushuhuda huku.
 
Shalom,
Mimi kama Chief Mapenzi nina ujumbe wenu hapa.

Tukumbushane au tupeane madini ya kazi kazi au shoo shoo, soup ya kongolo ni baba lao, soup ya kongolo the big dady kwenye shoo kali.

Usijeukamtafuta mchawi chukua hii ikusaidie.

Ijumaa Kareem

Wadiz a k.a Chief Mapenzi
Na Hindi la kuchoma
 
Tanzania ukitaka hata vocha zako zinunulike zaidi, tangazia vijana kuwa kuongea sana kunaongezq nguvu za kiume
 
Back
Top Bottom