Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Na Hindi la kuchomaShalom,
Mimi kama Chief Mapenzi nina ujumbe wenu hapa.
Tukumbushane au tupeane madini ya kazi kazi au shoo shoo, soup ya kongolo ni baba lao, soup ya kongolo the big dady kwenye shoo kali.
Usijeukamtafuta mchawi chukua hii ikusaidie.
Ijumaa Kareem
Wadiz a k.a Chief Mapenzi
Tanzania ukitaka hata vocha zako zinunulike zaidi, tangazia vijana kuwa kuongea sana kunaongezq nguvu za kiumeShalom,