Supu ya mkia

Supu ya mkia

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kama wewe ni mlevi wa pombe kali au mvivu wa kula pata supu ya mkia hasa shinani maana una nyama nyingi na tamu bei pia si mbaya
waweza kula kongolo au ulimi lakini havishibishi kama mkia

ukishapata mkia wako nusu na supu yake ya moto waweza unguza matumbo na mikonyagi na bado ukabaki na afya yako
Lakini la faraja zaidi hupump sile ngufu sa uzazi.
 
Kama wewe ni mlevi wa pombe kali au mvivu wa kula pata supu ya mkia hasa shinani maana una nyama nyingi na tamu bei pia si mbaya
waweza kula kongolo au ulimi lakini havishibishi kama mkia
ukishapata mkia wako nusu na supu yake ya moto waweza unguza matumbo na mikonyagi na bado ukabaki na afya yako
Lakini la faraja zaidi hupump sile ngufu sa uzazi

Hii ungetakiwa uipeleke jukwaa la walevi na wazinzi. Hapa watu wanajifunza mapishi.
 
Alaa kumbe nilikuwa sijui kumbe kuna jukwaa rasmi la wazinzi na walevi....ngoja niwaombe mods fasta waipeleke huko japo kwa uelewa wangu jukwaa hili ni pana mno na lina mengi ya kushare na si jinsi tu ya kupika hiki au kile
 
Haya fanya haraka, siku nyingine usirudie tena kuleta upup.u wako huku.
 
Hahahaaaa sawa mzee siku nyingine sirudii tena kuleta ----- nitaleta gunia la chawa
 
Ngoja nikapige hiyo supu ya mkia au kongoro na chapati 3, pilipili nyingiii kwanza afu narudi.
 
Hiyo kitu nimeshawahi kuifanyia biashara..yaani mkia unakwanguliwa nywel zote unasafishwa then unachemshwa kama nyama kawaida ila inachukua muda kuchemka na kuwa laini ukichanganya na makongoro,
Sasa inapikwaje hiyo supu?
 
Hiyo kitu nimeshawahi kuifanyia biashara..yaani mkia unakwanguliwa nywel zote unasafishwa then unachemshwa kama nyama kawaida ila inachukua muda kuchemka na kuwa laini ukichanganya na makongoro,

sasa unafanyaje kukwangua? nataka nifundishe mtu hapa. Asante
 
Back
Top Bottom