Kama wewe ni mlevi wa pombe kali au mvivu wa kula pata supu ya mkia hasa shinani maana una nyama nyingi na tamu bei pia si mbaya
waweza kula kongolo au ulimi lakini havishibishi kama mkia
ukishapata mkia wako nusu na supu yake ya moto waweza unguza matumbo na mikonyagi na bado ukabaki na afya yako
Lakini la faraja zaidi hupump sile ngufu sa uzazi
Hii ungetakiwa uipeleke jukwaa la walevi na wazinzi. Hapa watu wanajifunza mapishi.
Haya fanya haraka, siku nyingine usirudie tena kuleta upup.u wako huku.Alaa kumbe nilikuwa sijui kumbe kuna jukwaa rasmi la wazinzi na walevi....ngoja niwaombe mods fasta waipeleke huko japo kwa uelewa wangu jukwaa hili ni pana mno na lina mengi ya kushare na si jinsi tu ya kupika hiki au kile
Haya fanya haraka, siku nyingine usirudie tena kuleta upup.u wako huku.
Sasa inapikwaje hiyo supu?
Hiyo kitu nimeshawahi kuifanyia biashara..yaani mkia unakwanguliwa nywel zote unasafishwa then unachemshwa kama nyama kawaida ila inachukua muda kuchemka na kuwa laini ukichanganya na makongoro,