Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa unakunywa supu ya mapupu au makwasukwasu.Supu ya ng'ombe halisi haina shida yoyote.Jamani imekua ikinitokea Mara nyingi nikinywa supu ya ng'ombe.
Nakua mchovu sana.hadi nimeanza kuogopa kunywa supu.je Shida inaweza kua nini.??? hata hapa naandika nikiwa Niko mchovu sana baada ya kunywa supu ya ng'ombe.