Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Kwahiyo tukuchangie kununua mpya ama...?
Aliyenunua supu ndo anapaswa kushughulika kwa hili pia!Dada nitashukuru sana.
Ndugu zangu nimekoma. Juzi nilikula supu ya pweza, basi Bwana Mdogo wangu karibu achomoke kwenye makazi yake nikingali kufika nyumbani. Yaani mpaka alivunja kufuli, tena Solex original!
Sirudii tena!
supu ya pweza sawa, lakini nakushauri kaanga mbegu za maboga na uwe unatafuna kila siku, pia kula ubuyu kwa wingi hapo kaka jogoo mpaka miaka 90 anawika tu kokolikooooo, welaaaaa!
yaani hapo urithi wa babu hadi kwa vitukuu , vilembwe na vining'ina n.k
SI UNGECHEPUKA KWA MACHENI AU SAN SIRO..... UKA :laser:
Ndugu zangu nimekoma. Juzi nilikula supu ya pweza, basi Bwana Mdogo wangu karibu achomoke kwenye makazi yake nikingali kufika nyumbani. Yaani mpaka alivunja kufuli, tena Solex original!
Sirudii tena!
Supu ya kuku wa kienyeji, Nitamu sanaaa. Pweza ni noma hivi wanawake wakinywa inakuwa kama wanaume?
Ha,haaa mi nafikiri ni fikra za mtu ndio zinamfanya aone ivyo je imeshasibishwa na wataalam?
Sidhani aisee maana kila mtu anasifia hakumbuki akiwa anaenda kunywa tayari akili ishajiwekea jambo hilo so hamu inakuwepo tu kabla hata supu haijafika mezani
Kwa mengi yameongelwa ila nachujua kama utumii lishe bora na mazoezi na kutopenda kufanya kila wakati kwanini usiwe na nguvu za kukutosha?