arabianfalcon
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,285
- 584
Na unapokula hupati tofauti yeyote? Maana wanasema ukila sana unalazimika kupata mwanamke chapchap
Pweza wana madini mengi sana ya zinki (zinc). Madini haya husaidia kuzalisha homoni ya testosterone. Homoni ya testosterone ni muhimu sana katika kusababisha hamu ya kufanya mapenzi kwa wanaume.
Kwa wanaume, usiku tukiwa tumelala miili yetu huzalisha homoni hii kwa wingi na ndiyo maana mara nyingi tuamkapo asubuhi mali zetu huwaga zimenyanyuka. Kwa hiyo wingi wa testosterone ni wingi wa hamu ya kufanya mapenzi.
Kwa hiyo hizi habari za pweza na supu yake si simulizi tu. Ni habari za kweli zilizokwishathibitishwa kisayansi.

Naomba hiyo source ya kisayansi inayosema "Pweza wana madini mengi sana ya Zinc."Ni habari za kweli zilizokwishathibitishwa kisayansi.
elimu kubwa ya hii kitu waulizeni wazee wa kipemba.wamejazana sana hasa pale maeneo ya ilala.Ni maeneo ya Tabata Ijumaa jioni jana, meeting with four old friends. Sasa wakaniconvice tukale Pweza. . I
have never taken it! Dah kwenye hicho kijibanda muuzaji kakata vijipande vidogovidogo, sh 100! Only men
were coming, anadondosha pesa zake anakula pweza wake na supu anachapamwendo!Sasa kuja kuuliza
naambiwa pweza, hasa supu yake ni muhimu sana kwa kuongeza nguvu za kiume! Tena nikaonywa kama sina
mwanamke nisijaribu kula though kwa jana sijaona effect yeyote kwa kweli! Inawezekana mada hii
imeshaletwa hapa but wadau hebu tuambiane, hii mambo inakuwaje? Na mtu anapozungumzia nguvu za
kiume anamaanisha nini hasa? Poweful erection? Sperm Count? Ability to do for a long time bila kuchoka?
Uwezo wa ku impregnant a woman? what does it mean? Tusaidiane wakuu! Nawakilisha.
Pweza wana madini mengi sana ya zinki (zinc). Madini haya husaidia kuzalisha homoni ya testosterone. Homoni ya testosterone ni muhimu sana katika kusababisha hamu ya kufanya mapenzi kwa wanaume.
Kwa wanaume, usiku tukiwa tumelala miili yetu huzalisha homoni hii kwa wingi na ndiyo maana mara nyingi tuamkapo asubuhi mali zetu huwaga zimenyanyuka. Kwa hiyo wingi wa testosterone ni wingi wa hamu ya kufanya mapenzi.
Kwa hiyo hizi habari za pweza na supu yake si simulizi tu. Ni habari za kweli zilizokwishathibitishwa kisayansi.
Kwa hiyo huamini au?Naomba hiyo source ya kisayansi inayosema "Pweza wana madini mengi sana ya Zinc."
Kwenye sayansi hakuna kuaminiana, kitu "imani" hakuna.Kwa hiyo huamini au?
Boss soma topic vizuri, hapa mada tunazungumzia pweza na si kitu kingine.ni pweza tu
wa kuongeza tetestorene?
vyakula vingine?
ni pweza tu
wa kuongeza tetestorene?
vyakula vingine?
naamini kuna vyakula vingi vya wanga husaidia kuongeza muhemko na pia matunda kama parachichi etc
<span style="font-family: comic sans ms"><font size="3">Naomba hiyo source ya kisayansi inayosema "Pweza wana madini mengi sana ya Zinc."</font></span>
Moja ya njia za asili ya kuongeza testosterone ni kula pweza. Ingine ni kulala. Kama una mtu hulali vizuri basi viwango vyako vya testosterone vinaweza kushuka hadi kwa asilimia 40! Kwa hiyo kulala pia kunaongeza viwango vya hiyo homoni.
Njia nyingine kufanya tendo la ndoa angalau mara moja kwa wiki. Usipofunga "goli" au "magoli" kwa zaidi ya wiki viwango vya testosterone hushuka. Kwa hiyo jitahidi uwe unamega hata mara moja kwa wiki. Katikati ya wiki mimi naona ndiyo inafaa zaidi.
Kama unakunywa pombe punguza! Unywaji wa pombe hata kwa wastani tu hupunguza viwango vya serum katika testosterone. Kwa wale walevi mbwa ndiyo usiseme kabisa. Viwango hushuka kwa kiasi kikubwa zaidi.
Kwa hiyo cha muhimu ni kula vizuri na kulala (kupumzika) vizuri. Usipende kukesha sana na usile ma vyakula yenye mafuta mengi. Na madini ya zinki hupatikana pia katika vyakula vingine kama karanga, korosho, na mbegu mbegu zingine za jamii hiyo. Ila pweza ndiyo chanzo kizuri zaidi cha hayo madini kuliko vyakula vingine.
Pia unaweza kuongeza viwango vya homoni hiyo kwa kumeza testosterone boosters. Kuna vidonge vinaitwa ZMA. ZMA ni mjumuisho wa zinc, magnesium aspartate, na vitamins b6. Huhitaji maelekezo ya tabibu kutumia vidonge hivi. Ila kwa Tanzania sijui supplements kama hizi zinapatikana wapi. Lakini pia over the counter testosterone boosters zipo nyingi tu.
Naomba hiyo source ya kisayansi inayosema "Pweza wana madini mengi sana ya Zinc."
Depending on type and variety oysters provide 16-182mg of zinc per 100g serving. This accounts for 110%-1200% of the RDA for zinc. The food highest in zinc is The Steamed Wild Eastern Oyster which provides 182 mg of zinc per 100g serving, or 76mg (509% RDA) in 6 oysters, and 154mg (1029% RDA) in a 3 ounce serving.
Source; Top 10 Foods Highest in Zinc
[TD="colspan: 5"]Mollusks Oyster Eastern Wild C | |
| [SIZE=+1]Minerals[/SIZE] | |
| [SIZE=-1]Calcium 90mg[/SIZE] | |
| [SIZE=-1]Iron 11.99mg[/SIZE] | |
| [SIZE=-1]Magnesium 95mg[/SIZE] | |
| [SIZE=-1]Phosphorus 203mg[/SIZE] | |
| [SIZE=-1]Sodium 422mg[/SIZE] | |
| [SIZE=-1]Potassium 281mg[/SIZE] | |
| [SIZE=-1]Zinc 181.61mg[/SIZE] | |
| [SIZE=-1]Copper 7.569mg[/SIZE] | |
| [SIZE=-1]Manganese 0.697mg[/SIZE] | |
| [SIZE=-1]Selenium 71.6μg[/SIZE] | |
| [SIZE=-1]Water 70.32g[/SIZE] | |
| [SIZE=-1]Ash 2.84g[/SIZE] |
| [TABLE="width: 100%"] [TR] [TD][SIZE=+1]Vitamins[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin A 180IU[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Retinol equivalents 54μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Retinol 54μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Alpha-carotene ~μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Beta-carotene ~μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Beta-cryptoxanthin ~μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin C 6mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin E ~mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin K ~μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin B12 35.02μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Thiamin 0.19mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Riboflavin 0.181mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Niacin 2.484mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Pantothenic acid 0.351mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin B6 0.118mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Folate 14μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Folic Acid 0μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Food Folate 14μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Dietary Folate Equivalents 14μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Choline ~mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Lycopene ~μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Lutein+zeazanthin ~μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin A[/SIZE] | [SIZE=-1]4%[/SIZE] | • | [SIZE=-1]Vitamin C[/SIZE] | [SIZE=-1]10%[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Calcium[/SIZE] | [SIZE=-1]9%[/SIZE] | • | [SIZE=-1]Iron[/SIZE] | [SIZE=-1]67%[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Percent of Daily Calorie Target[/SIZE] [SIZE=-2](2000 calories)[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Percent Water Composition[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Protein to Carb Ratio (g/g)[/SIZE] |
| [TD="colspan: 5, align: center"][SIZE=+1] Nutrition Facts [/SIZE] |
| [TABLE="width: 100%"] [TR] [TD][SIZE=+1]Vitamins[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin A 300IU[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Retinol equivalents 90μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Retinol 90μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Alpha-carotene 0μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Beta-carotene 0μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Beta-cryptoxanthin 0μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin C 5mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin E 0.85mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin K 0.1μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin B12 19.13μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Thiamin 0.15mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Riboflavin 0.166mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Niacin 1.244mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Pantothenic acid 0.18mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin B6 0.095mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Folate 9μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Folic Acid 0μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Food Folate 9μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Dietary Folate Equivalents 9μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Choline 81mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Lycopene 0μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Lutein+zeazanthin 0μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin A[/SIZE] | [SIZE=-1]6%[/SIZE] | • | [SIZE=-1]Vitamin C[/SIZE] | [SIZE=-1]8%[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Calcium[/SIZE] | [SIZE=-1]5%[/SIZE] | • | [SIZE=-1]Iron[/SIZE] | [SIZE=-1]37%[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Percent of Daily Calorie Target[/SIZE] [SIZE=-2](2000 calories)[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Percent Water Composition[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Protein to Carb Ratio (g/g)[/SIZE] |
| [TD="colspan: 5, align: center"][SIZE=+1] Nutrition Facts [/SIZE] |
| [TABLE="width: 100%"] [TR] [TD][SIZE=+1]Vitamins[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin A 487IU[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Retinol equivalents 146μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Retinol 146μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Alpha-carotene 0μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Beta-carotene 0μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Beta-cryptoxanthin 0μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin C 12.8mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin E 0.85mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin K 0.1μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin B12 28.8μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Thiamin 0.127mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Riboflavin 0.443mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Niacin 3.618mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Pantothenic acid 0.9mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin B6 0.09mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Folate 15μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Folic Acid 0μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Food Folate 15μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1] Dietary Folate Equivalents 15μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Choline ~mg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Lycopene 0μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Lutein+zeazanthin 0μg[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Vitamin A[/SIZE] | [SIZE=-1]10%[/SIZE] | • | [SIZE=-1]Vitamin C[/SIZE] | [SIZE=-1]21%[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Calcium[/SIZE] | [SIZE=-1]2%[/SIZE] | • | [SIZE=-1]Iron[/SIZE] | [SIZE=-1]51%[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Percent of Daily Calorie Target[/SIZE] [SIZE=-2](2000 calories)[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Percent Water Composition[/SIZE] |
| [SIZE=-1]Protein to Carb Ratio (g/g)[/SIZE] |