Supu ya Pweza

Supu ya Pweza

Supu ya pweza ni mbaya. Ina ladha ya hovyo hovyo tu halafu ina harufu mbaya.

Ilishanishinda mimi!
Hawatengenezi supu tamu ila ile dawa kwa wagonjwa, sasa kama wewe ulienda kunywa kwa uroho wako ukijua ni supu mjarabu na murua ngoja ukome, na siku zote dawa huwa na ladha mbaya labda dawa za watoto angalau.
 
dawa ya ugonjwa gani?
 
kweli kabisa, ila watu wanajilazimisha tu sababu ya story zao za abunuas.
Hapana usiseme hivyo.... pweza mtamu sana yeye na supu yake kama hujazoea au hujapata wanaojua kuipika lazima uichukie ila daaah weka mbali na watoto.

yummy yummy.
 
mmmh! asante lkn hapana.
labda kama yupo wa kuungwa na viungo au wa kuchoma [emoji39][emoji39]
Sasa mimi wa kuwekwa viungo simpendi ila wa kukaangwa au kuchomwa uwiiii jamaniii mate yamejaa weekend hii ngoja nifanye mambo.
 
hahaha [emoji28][emoji23][emoji28]wewe ashakuingia damuni huyo mdudu sio bure....
Weeeeeh sio mdudu huyu ni SAMAKI.
tutake radhi kwanza.

31db0fd80edb68576d5baef73d72240b.jpg

f0287862ec2b0d85466c115d12a88d6e.jpg

Yummy Yummy.
 
Back
Top Bottom