Watu wabaya kweli hakuna kinachoshindikana jf
humu hakuna siri aseeWatu wabaya kweli hakuna kinachoshindikana jf
Utsaidika nini ukimuina!?Tsup.
KWA WASIOMJUA:
Soudy Brown ni Mtangazaji Maarafu Wa Clouds FM katika kipindi cha XXL kwenye sesion ya YOU HEARD.
Tumezoea kuziona picha za huyu jamaa akiwa na Mask usoni.
Yaani jamaa amefanikiwa kiasi kikubwa katika zoezi la kuificha sura yake, Maana kuna mpaka baadhi ya wasanii wakubwa Bongo ambao pia hawamjui
licha ya kwenda mjengoni(clouds) mara kibaao.
SASA WAKUU MWENYE PICHA YA SOUDY BROWN INAYOONYESHA SURA YAKE BILA MASK TUNAOMBA AITUPIE ILI TUMJUE...
Tena kawazidi hata wanawakeAnaona aibu. We unadhani hajionei huruma dume zima Kuwa mbea?
mmmh!! mi siwadharau wanawake lakini ukweli ni kwamba Sudy anapata mpunga from gossiping..wanawake wengi wambea wanapata nini kama sio kupoteza muda tu...na ni umbea huo huo uliomfanya yeye atengenezewe thread...wanawake wangapi wambea washawekewa thread huku?Tena kawazidi hata wanawake
hahahahahahahahahaha!!!!! mbavu zangu...heshima yako mkuuSio huyo bana acha kudanganya au kutumia picha yako kutafuta kick Soudy anajulikana labda we wa kijijini ndo humjui
Kwani wewe ni mla lami?Mla vumbiπππ
A man in a hot pink top? Tshirt imekaa kike zaidi? .. aaarrrghhh, I can not allow my man kuvaa hivyo. Plz, nahisi mmempakazia, huyu sio SB nayesikiaga sauti yake redioni
Hivyi huyo huwa ni mwanamke au?Tsup.