Habari wandugu...
Mim huwa nafikiri sana juu ya utetezi wa vifungu vya rasimu mpya na ukali wa jaji warioba. Hivi utetezi huu ni wa kizalendo au kuna kitu kimejificha ndani yake maana siasa ni mchezo mchafu...?

hapo kwenye red ni ninyi wenye akili za kuku ndio mnaona hivyo,jaji WARIOBA anawakilisha maoni ya wananchi waliotoa sasa sijui nyie wengine mnawakilisha mawazo ya kikundi kipi cha watu
Wewe unadhani ni kitu gani kimejificha nyuma?,toa mawazo yako kwanza ndiyo utuulize na sisi, harafu issue ya serikali tatu kwa mfano, mbona tume zote zilizowahi kuteuliwa zilikuwa zinapendekeza hivyo?,kwa nn hatuhoji wale walipata wapi hayo maoni, na walitumia package gani kufanya analysis kama mchangiaji mmoja alivyowahi kuuliza. Tusiwe walalamikaji tu, tuje na mifano au maoni yenye suluhu