Sura ya mnafiki hukaa hivi!

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Umenoa, sura ya mnafik ni kama hii hapa. [emoji1] Hivi wakati mwingine baadhi yenu nyie watz huwa mnatafakari kuhusu yale ambayo huwa mnayaandika au kuyanena? Yaani mpo serious kwenye mtazamo wenu kwamba maamuzi ya rais U.K yangekuwa tofauti na maslahi ya wananchi na nchi ya Kenya kisa tu alizuru Chato na akazawadiwa tausi? Kinachotukondolea macho ni hatari na athari kubwa, sanasana za kiuchumi, kupitia tishio kali la kiafya na hata vifo kisa Corona, ambayo mnaona sifa kuipuuza, kuibeza na kuingiza ubabe, jeuri na mzaha. Mnadhani nchi huwa inaendeshwa kama kibanda cha mama ntilie au? Kilichomleta rais U.K. Chato ni hayo hayo maslahi ya nchi ya Kenya kibiashara, kiushawishi ukanda huu na labda hata ujasusi kwa nia ya kuendeleza malengo ya nchi ya Kenya. Sio utalii, undugu wala uswahiba. Kila nchi ambayo inajielewa huwa inavuta kamba upande wake ikiwaza kujiendeleza kwa namna yeyote ile, liwe liwalo.
 
wacha tuone.kama kweli alirenga wananchi au mambo mengine.

numbers never lies.
result
0:890 mpaka leo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…