Sura za hawa jamaa zilivyo (facial expressions) unapata ujumbe gani kuhusu 31 Okt 10?

Sura za hawa jamaa zilivyo (facial expressions) unapata ujumbe gani kuhusu 31 Okt 10?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
makame_small.jpg

Source: NEC website
 
Kilavu anaonekana kama tapeli fulani hivi....you can't trust him with your most precious possession
 
yani hawa jamaa wanaomba usiku na mchana jamaa aliewateua asishindwe uchaguzi...!

manake akishindwa tu, kabarua kinaota nyasi...!

HAYA NI MWIBA SAANA KWA UPINZANI KUINGIA IKULU..! KUMBUKA KENYA...!
 
yani hawa jamaa wanaomba usiku na mchana jamaa aliewateua asishindwe uchaguzi...!

manake akishindwa tu, kabarua kinaota nyasi...!

HAYA NI MWIBA SAANA KWA UPINZANI KUINGIA IKULU..! KUMBUKA KENYA...!
Wamechukizwa sana ccm kuwa chama DOLA,Wanaona kama wanachonganshwa na jamii
 
Hii sura ya Kiravu inaonesha kutoruhusu wapinzani waingie madarakani!
 
Kiravu ana sura ya mtu ambaye ni mshauri wa familia na ndoa yako kumbe pia anamtokea mamsap wako. HAAMINIKI

Makame anaonekana kama mtu ambaye anasema wewe unajitia mjanja sasa kumbuka funguo za mlango nimezimeza mimi. KIGINGI
 
Kiravu anaonekana kama tayari ameshajiandaa kwa shari dhidi ya wapinzani; yaani ile nini?!? utanifanya nini!!??
 
My take, wanaofanya kazi ni wengine (CCM) wao kutia mkono...I mean signature
 
Ni wagombea wenye hasira kali na uchungu wa inji yetu, hawana mood ya kutabasamu, mpaka waingie ikulu
 
Back
Top Bottom