Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,771
- 5,087
Ningependekeza tuwa-suprise Magu na Lissu tumpe kura zote Hashim Rungwe kutoka CHAUMA.
Pia nahisi tutazi-suprise media pamoja na mabeberu[emoji28][emoji28].
Au mnaonaje wananchi.
Urais wa nchi sio wa kuufanyia maigizoNingependekeza tuwa-suprise Magu na Lissu tumpe kura zote Hashim Rungwe kutoka CHAUMA.
Pia nahisi tutazi-suprise media pamoja na mabeberu[emoji28][emoji28].
Au mnaonaje wananchi.
Ata hai wengine wanaigiza tu maana hawana jipya uko majukwaaniUrais wa nchi sio wa kuufanyia maigizo
HahaHiyo siyo surprise ni mshituko kuna watu watazimia kabisa..[emoji23]
Thank youVery interesting.