Surprise kwa wanaume!!!

Surprise kwa wanaume!!!

sakapal

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
1,804
Reaction score
1,424
Habari zenu,
naombeni ushauri hasa kutoka kwa wanaume waliooa au walio kwenye mahusiano ya muda mrefu, pia wadada.
NB: NIKO SERIOUS TAFADHALI.

Ni hivi, nataka nimfanyie surprise mumewangu siku ya birthday yake mbali na kumnunulia zawadi siku ya birthday nitamfuata kumchukua kazini jioni (sio kawaida yangu) nitampeleka restaurant tukapate dinner for two a normal one hii huwa tunatoka mara kwa mara (not special prepared). Sasa nataka kubook hotel (not guest house) tukalale huko baada ya kupata dinner na kuamkia hapo next day which will be saturday tunapata break fast then nampeleka job coz yeye anaenda job saturday. Hii ya kulala hoteli hatujawahi tangu tulipotoka honeymoon. so hii ni out ya kwanza tangu tuoane. Kwangu mimi hili ni bonge la surprise ambalo nahisi litanitoa machozi ya furaha, ila nahitaji ushauri wenu wanaume hasa mliioa au walio katika mahusiano. Je mkeo au g/friend wako akikufanyia hv utafurahia au utashangaa au utafanyaje? naombeni msaada wa mawazo halisia iwapo ikitokea hv utarespond vipi kwa mkeo. TAFADHALI NIKO SERIOUS MATANI ACHA KWANI NINA MUDA MCHACHE WA KUFANYA HAYA.
Kwenye birthday yangu alinitoa out tukapata dinner baada ya kutoka job tulipofika home akanipa surprise gift.
Natanguliza shukrani kwa msaada wenu wa mawazo.
 
Ni jambo zuri, fanya hivyo but peleka mada hii ktk MAHUSIANO MAPENZ NA URAFIKI.
 
Peleka jukwaa husika, ila hiyo plan yako ni nzuri sana. Ni zawadi tosha, hata mumeo nafikiri ataifurahia.
 
Supprise pekee amabayo mumeo hatoisahau na itafanya akupende milele na milele ni T.I.GO.Hakika utaukumbuka ushauri wangu.jaribu hatowaza kukuacha.nakutakia supprise njema!
 
mpe zawadi ya jersey kila akiivaa anakukumbuka..i wish ningekushauri umnunulie boxer sema atakuwa anawavulia wanawake wenzako..chupi ununue wewe wafaidi wenzako wapi na wapi...

ila kama uwezo upo fresh mtie kitu cha toy-hummer kila akipita kitaa anawasimulia washkaji kaninunulia mke wangu...ndiooo..mbona beyonce kamtia jigga kitu cha mabawa...fanya fasta mamaaa utashindwa kumsaplay-iz mmeo haya weee.
 
Kwa mimi hyo sio suprise kabisa,Suprise ya ukweli ni kumpa aji express himself
 
Habari zenu,
naombeni ushauri hasa kutoka kwa wanaume waliooa au walio kwenye mahusiano ya muda mrefu, pia wadada.
NB: NIKO SERIOUS TAFADHALI.

Ni hivi, nataka nimfanyie surprise mumewangu siku ya birthday yake mbali na kumnunulia zawadi siku ya birthday nitamfuata kumchukua kazini jioni (sio kawaida yangu) nitampeleka restaurant tukapate dinner for two a normal one hii huwa tunatoka mara kwa mara (not special prepared). Sasa nataka kubook hotel (not guest house) tukalale huko baada ya kupata dinner na kuamkia hapo next day which will be saturday tunapata break fast then nampeleka job coz yeye anaenda job saturday. Hii ya kulala hoteli hatujawahi tangu tulipotoka honeymoon. so hii ni out ya kwanza tangu tuoane. Kwangu mimi hili ni bonge la surprise ambalo nahisi litanitoa machozi ya furaha, ila nahitaji ushauri wenu wanaume hasa mliioa au walio katika mahusiano. Je mkeo au g/friend wako akikufanyia hv utafurahia au utashangaa au utafanyaje? naombeni msaada wa mawazo halisia iwapo ikitokea hv utarespond vipi kwa mkeo. TAFADHALI NIKO SERIOUS MATANI ACHA KWANI NINA MUDA MCHACHE WA KUFANYA HAYA.
Kwenye birthday yangu alinitoa out tukapata dinner baada ya kutoka job tulipofika home akanipa surprise gift.
Natanguliza shukrani kwa msaada wenu wa mawazo.

So you want to reciprocate hapo kwa red, haya bana! Ngoja wataalam wa haya mambo waje kwani mimi na mke wangu tulishatoka huko! tunafanyia watoto tu basi
 
hebu mje mtoe madizaini ya mamishangao hapa.....wengine tupige madesa.....
 
Nimeipenda idea yako ni nzuri sana kwenye kulikuza penzi lenu ......lakini anafaa kwa suprise soma mazingira kwanza usije ukashangazwa wewe ....
 
Hiyo imekaa njema mamito........ila una kipato??asije akaanza kukuuliza pesa umepata wap ndo ukawa mwanzo wa utata, kama uncho kitakachoverify value for money then endelea mama, very nyc suprise, mwongeze na jezi ya timu aipendayo ya mpira iloandkwa jna lake, orijino lakini sio mdosho
.............ngoja nimwambie na huyu huku anisuprise hivyohivyooooo!!!!
 
Mpeleke baharini asubuhi pale umesikia adhani ya asubuhi akapige cha wima wima, na nyie mmezama kwenye bahari hio itakuwa ndo nzuri.

Hio sijui ya kwenda naye hotelini imeisha pitwa na wakati.

Lakini pia sio mbaya hongera sana kwa kumpenda mme wako :yo:
 
Supprise pekee amabayo mumeo hatoisahau na itafanya akupende milele na milele ni T.I.GO.Hakika utaukumbuka ushauri wangu.jaribu hatowaza kukuacha.nakutakia supprise njema!

Hivi haya mambo yameshahalalishwa eeh!..naona mnayatamka kama mchezo vile!!
 
mmmh!...........n nzuri lkn mumeo anapenda aina hiyo ya mitoko mfano kama hapendi ishu za kulala hotelini asije akakushangaza maidia.
 
Hahaha, gfsonwin, nilikuwa namuambia the same. Kama hawajazoea ku-sapraiziana asije akawa surprised yeye.

Kila la kheri mamito.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom