Wasiwasi wangu, kwa mfano wakifika katika hiyo Hoteli, mhudumu anamwambia mzee, "Muheshimiwa, tumekuandalia kile kile chumba chako cha kawaida?"mmmh!...........n nzuri lkn mumeo anapenda aina hiyo ya mitoko mfano kama hapendi ishu za kulala hotelini asije akakushangaza maidia.
Supprise pekee amabayo mumeo hatoisahau na itafanya akupende milele na milele ni T.I.GO.Hakika utaukumbuka ushauri wangu.jaribu hatowaza kukuacha.nakutakia supprise njema!
mpe zawadi ya jersey kila akiivaa anakukumbuka..i wish ningekushauri umnunulie boxer sema atakuwa anawavulia wanawake wenzako..chupi ununue wewe wafaidi wenzako wapi na wapi...
ila kama uwezo upo fresh mtie kitu cha toy-hummer kila akipita kitaa anawasimulia washkaji kaninunulia mke wangu...ndiooo..mbona beyonce kamtia jigga kitu cha mabawa...fanya fasta mamaaa utashindwa kumsaplay-iz mmeo haya weee.
So you want to reciprocate hapo kwa red, haya bana! Ngoja wataalam wa haya mambo waje kwani mimi na mke wangu tulishatoka huko! tunafanyia watoto tu basi
Nimeipenda idea yako ni nzuri sana kwenye kulikuza penzi lenu ......lakini anafaa kwa suprise soma mazingira kwanza usije ukashangazwa wewe ....
yeah nafanya vyote hivyo vilivyo ndani ya uwezo wangu kifedha hatakuwa na wasi hata chembe hapo kwenye jezi nimepapenda pia naongezea kwenye list. thanxHiyo imekaa njema mamito........ila una kipato??asije akaanza kukuuliza pesa umepata wap ndo ukawa mwanzo wa utata, kama uncho kitakachoverify value for money then endelea mama, very nyc suprise, mwongeze na jezi ya timu aipendayo ya mpira iloandkwa jna lake, orijino lakini sio mdosho
.............ngoja nimwambie na huyu huku anisuprise hivyohivyooooo!!!!
hata sie tunawafanyia watoto wetu sana ila nimeona nasi tule maisha kidogo kukumbushia enzi na kuziba nyufa za mapenzi
Nimeipenda idea yako ni nzuri sana kwenye kulikuza penzi lenu ......lakini anafaa kwa suprise soma mazingira kwanza usije ukashangazwa wewe ....
mmmh!...........n nzuri lkn mumeo anapenda aina hiyo ya mitoko mfano kama hapendi ishu za kulala hotelini asije akakushangaza maidia.
Hiyo imekaa njema mamito........ila una kipato??asije akaanza kukuuliza pesa umepata wap ndo ukawa mwanzo wa utata, kama uncho kitakachoverify value for money then endelea mama, very nyc suprise, mwongeze na jezi ya timu aipendayo ya mpira iloandkwa jna lake, orijino lakini sio mdosho