.Labda tu kwa kuongeza surprise wakati unamchukua toka kazini mwambie kabisa kuw leo ninakushangaza na tafuta kitambaa cha kumfunga machoni ili asijue mnaelekea wapi na umfungue pale mtakapokuwa mmeshakaa na huduma ipo mbele yenu..Nakutakia kila la kheri katika kudumisha ndoa yako
I believe you. hakuna anayesema anatoaga anywaylol! penye msafara wa mamba hata kenge wamo, miye nlijua kutakuwa na masihara tu hapa ila niko sirias. TIGO kwangu nop!
hahahahaaaa thanx alot, nlikuwa sijaweka in case anything happens lol! kikaragosi chekundu kikizuka gafla! mmmmh! story itakuja baada ya birthdayit's a creative surprise but don't forget to put in place contingency plans in case the unexpected happens (swali la kizushi: hivi kikaragosi chekundu kikizuka ghafla, bado kutakuwa na haja ya kulala hotel ya bei mbaya teh teh teh)
Je mna watoto? Hata mi wife alinifanyia hiyo kitu ila sikufurahi sana mpaka pale alipoletwa binti yangu wa miaka mitatu tukasherehekea nae. Iweje wewe ukashangilie birthday ya mumeo watoto wenu wapendwa muwaache Nyumbani? Kama hamna watoto basi imekaa poa.
thanx will give feedback after the evenyKama ela itatosha mpitishe kwenye body massage ya ukweli hii itasaidia asije kataa kukupa kitu roho inataka kwa kusingizia uchovu wa kazi. Lol. Afu na hiyo hotel weka reservation usivamie tu ili wakupambie chumba kwa roses. Kusema honey moon vile. Hope you will all enjoy. Ikiwezekana tupe feedback jamaa alishangaaje.
thanx man2 my side,nitapokea kwa mikono na miguu yote miwili nitapofanyiwa chochote na mtu muhimu kiasi hiki.Namaanisha chochote,sina mipaka kwani mwenzako anapoamua kukufurahisha usiiharibu furaha yake.But nilichokua natarajia kutoka kwako ni kuwa unamjua mumeo kwa kuwa umeshamsoma,utakua unajua ni nini hasa hapendi na nini anafurahi.Maana unaweza ukampeleka maeneo ambayo yeye hapendi.Sisi wanaume tuna tofauti,ila wish u all the best!
Hivi haya mambo yameshahalalishwa eeh!..naona mnayatamka kama mchezo vile!!
Supprise pekee amabayo mumeo hatoisahau na itafanya akupende milele na milele ni T.I.GO.Hakika utaukumbuka ushauri wangu.jaribu hatowaza kukuacha.nakutakia supprise njema!
Its not a bad idea at all....lakini kama hamtumii gari moja., ni vema utafute njia ya kuaandaa utaratibu wa kutumia gari moja, na kuandaa nguo za kubadilisha baada ya dinner na kwenda nazo kazini kesho yake....napendekeza dinner hiyo uifanyie hapo hapo hotelini...na jicheleweshe kumaliza dinner yenu huku ukijua kuwa mnalala hapo hapo.....!!
enjoy ur hubbys birthday.
Tuna watoto sasa tuwe nao for dinner au mpaka hotelini? coz miundombinu ya dar foleni kuwaleta watoto anyways, thanx will check on that japo sikuwafikiria let me put on my list
usije nunua kesi "hii hotel uliijuaje" siku ya furaha ikaingia mchanga.
Mkuu dola mia mbili pale,hapo hujala hujanywa,basi mrs aandae laki tano.Wasiwasi wangu, kwa mfano wakifika katika hiyo Hoteli, mhudumu anamwambia mzee, "Muheshimiwa, tumekuandalia kile kile chumba chako cha kawaida?"
Naamini suprise ingeishia hapo hapo.
:focus: Kwa mimi ningekushauri utafute Hoteli za ufukweni kwa mfano pale Double Tree by Hilton pangekufaa kwa usiku mmoja pia Coral Beach napo ni pazuri maana pia kuna mandhari nzuri ya kujivinjari.
Mmmh,dunia ina mambo!
Habari zenu,
naombeni ushauri hasa kutoka kwa wanaume waliooa au walio kwenye mahusiano ya muda mrefu, pia wadada.
NB: NIKO SERIOUS TAFADHALI.
Ni hivi, nataka nimfanyie surprise mumewangu siku ya birthday yake mbali na kumnunulia zawadi siku ya birthday nitamfuata kumchukua kazini jioni (sio kawaida yangu) nitampeleka restaurant tukapate dinner for two a normal one hii huwa tunatoka mara kwa mara (not special prepared). Sasa nataka kubook hotel (not guest house) tukalale huko baada ya kupata dinner na kuamkia hapo next day which will be saturday tunapata break fast then nampeleka job coz yeye anaenda job saturday. Hii ya kulala hoteli hatujawahi tangu tulipotoka honeymoon. so hii ni out ya kwanza tangu tuoane. Kwangu mimi hili ni bonge la surprise ambalo nahisi litanitoa machozi ya furaha, ila nahitaji ushauri wenu wanaume hasa mliioa au walio katika mahusiano. Je mkeo au g/friend wako akikufanyia hv utafurahia au utashangaa au utafanyaje? naombeni msaada wa mawazo halisia iwapo ikitokea hv utarespond vipi kwa mkeo. TAFADHALI NIKO SERIOUS MATANI ACHA KWANI NINA MUDA MCHACHE WA KUFANYA HAYA.
Kwenye birthday yangu alinitoa out tukapata dinner baada ya kutoka job tulipofika home akanipa surprise gift.
Natanguliza shukrani kwa msaada wenu wa mawazo.
This sort of life is quite artificial and this is what causes the bongo dwellers to recess from advancement.