Surprise visits.....

Ha ha ha ha uweiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nilikumiso sana aise you made my day

Nimekumisso Kidogo! Unajua sababu

Kwa kweli tusiviziane...mimi humwambia mama Mchungaji naja Mwezi mzima kabisa, na yeye hunifata Ubungo...No Pressure
 
Labda wana sababu za msingi zinazowafanya wajisikie kero kufanyiwa suprise.mi naendelea kusoma sababu zao hapa huwenda zina mshiko japo muda huu,naona wengi (siyo wote) wanaogopa kufumaniwa.....lol.
Ukweli usiopingika....
 
Nimekumisso Kidogo! Unajua sababu

Kwa kweli tusiviziane...mimi humwambia mama Mchungaji naja Mwezi mzima kabisa, na yeye hunifata Ubungo...No Pressure

Kwakweli mie siku natoa taarifa mwezi mzima kabla maana niliwahi kukutwa na maswahiba
sina hamu na suprise kabisa tena yoyote ile
 

Unajuaje kwamba walikuwa hawajui ''FRENCH KISS?'' Walikuwa wanajua na walikuwa wanafanya chumbani, sio hadharani na kwenye runinga kwama wazungu. Ilikuwa siri yao. Naamini the so called French Kiss haikugunduliwa na mtu yeyote kama lilivyo tendo lenyewe la kujamiiana! Linakuja automatically tu. Au unataka kuniambia, wanadamu wa kwanza kabisa kuwepo duniani na wakajaamiiana walifundishwa na nani kufanya hivyo? It happened NATURALLY!! Na katika kufanya tendo hilo ndipo wakagundua na mambo mengine kama foreplays ikiwemo hiyo mnayoiita French Kiss...Wafaransa wantaka kuhalalisha kwamba wao ndio waligundua French Kiss....!! Je ni wazungu wepi waliogundua kujaamiiana kisha sisi tukaigia?

Au leo hii ikitokea watoto wawili mmoja wa kike na mwingine wa kiume wakawekwa sehemu ya peke yao mpaka wakawa wakubwa bila kuwa na wanadamu wengine; hudhanii kwamba watakuwa na lugha yao wenyewe? Na watakapokuwa wakubwa na kubalehe watajikuta wanafanya tendo la kujamiiana bila ya kufundishwa na mtu!? Huamini hilo?
 
Mie mwenzenu nazipenda sana surprise, Na huwa ananifanyia na naenjoy sana akinifanyia surprise. Ila mwanzoni nilikuwa naona kama ananiwinda baadae nikagundua ananipenda sana na anawivu na mimi so sioni mbaya kwa hili. Jana tu kanifanyia surprize walahi nilishituka ila nilifurahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…