Suruali Imeniaibisha Kwenye Daladala.....!!

Ndo mana mie huamua kuvaa jinsi na kadeti cku zote
 
Last edited by a moderator:
Kuanzia sasa ni mwendo wa jinzi tu....
 
klorokwini bwana...aha ha ha ha..
 
Last edited by a moderator:
Hivi mchina hakuleta sarawili za kiume stretch able? Manake sie tunavyobanwaga, kusingekuwa na stretch materials tungetoka damu ama vidonda, mweh!
 
Katavi bana hilo ni sooo sijui nicheke sijui nilie. pole wangu.
 
Hivi mchina hakuleta sarawili za kiume stretch able? Manake sie tunavyobanwaga, kusingekuwa na stretch materials tungetoka damu ama vidonda, mweh!

King'asti, kwa nini mtoke damu?
 
Last edited by a moderator:
za buku mbili Karume then unaenda kuipunguza kwa fundi wako sh 400. Polen cna
 
Una umri gani?Usije kuwa na old skuli afu unatuiga vijana kupiga model!!! Haha zina wenyewe modo ndugu yangu usizivamie zitakuumbua hahah
Pole lakini my brother..
 
pole sana kaka! Ishamtokea rafiki yangu ofisini alipoinama kuokota karatasi ni soo! Mbele kulikuwa na wateja
 
Duh! Hii ni balaa, pole sana mkuu kwa yaliyokukuta. Umenikumbusha siku niliyotumbukia kwenye mtaro wa maji machafu maeneo ya soko kuu wakati nikishangaa wowowo la mwanadada mrembo aliyekuwa akikatiza barabarani.
 
pole sana kaka! Ishamtokea rafiki yangu ofisini alipoinama kuokota karatasi ni soo! Mbele kulikuwa na wateja
Du... kakayona huyo jamaa atakuwa alinyong'onyea sana...
 
Last edited by a moderator:
Una umri gani?Usije kuwa na old skuli afu unatuiga vijana kupiga model!!! Haha zina wenyewe modo ndugu yangu usizivamie zitakuumbua hahah
Pole lakini my brother..
Ha ha ha aaah!! Mtundu Kisu sikuweka manjonjo yoyote katika kuvaa nia ajali tu ya kawaida.
 
Last edited by a moderator:
kwani hyo iliyochanika sh. Ngap? Na itakuwa fundi aliye ipunguza kaibana sana. Bt pole cna kwa dhahma
Loy MX sio ya buku mbili, sijaivaa tena baada ya kurudi nyumbani natafuta mtu wa kumkabidhi...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…