Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
Wenye vitambi je tuvae au tukaushe πMwanamke mwembamba sana mwenye viguu vya matege hapendezi kuvaa suruali, mwanamke mnene sana mwenye mipaja minene na shape ya kabati hapendezi kabisaaaa kuvaa suruali,
Fashion sio kwa kila mwili, fashion ina mipaka
Soma comment#2.Wenye vitambi je tuvae au tukaushe π
Nyie mna high waist, kitambi kinabanwa humo kinatulia tuliiiiπWenye vitambi je tuvae au tukaushe π
Vaaa tu madame, wife alipiga suruali siku moja mbona nilimkubali!Wenye vitambi je tuvae au tukaushe π
Vaaa tu madame, wife alipiga suruali siku moja mbona nilimkubali!
Leo miili spoke imepatikana, juzi waliandamwa wenye vitambi! Wacha nao wapumzike!Kikiwa kifupi kimeulamba ile nyekundu kiwe kwa mbali unaweza kufikiri bisbis inatembea.
Yeah! Bata kupokezana.Leo miili spoke imepatikana, juzi waliandamwa wenye vitambi! Wacha nao wapumzike!