real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
Baada ya marufuku ya kutumia mifuko ya plastiki kutekelezwa, sasa mifuko ya kubebea imeanza kutengenezwa kwa kutumia mifuko ya suruali za jinsi
Mifuko hiyo hushonwa na kutengenezwa kuwa mifuko, suruali nizile kukukuu, idadi ya wateja ni 3,000 mpaka sasa eneo la Village Market
Mifuko hiyo hushonwa na kutengenezwa kuwa mifuko, suruali nizile kukukuu, idadi ya wateja ni 3,000 mpaka sasa eneo la Village Market