Plot4Sale Surveyed Plot at Goba

Dalali Sr

Member
Joined
Apr 10, 2018
Posts
21
Reaction score
1
√ Viwanja Vimepimwa Vina Offer.
√ Vina Ukubwa Mbalimbali.

Direction: 3Km Kutoka Goba njia nne.
Bei : Tsh 25,000/1SquareMeter

[emoji767] 0685917621
 
ungeweka ukubwa Na bei yake
Mbona nimeweka bei mkuu, ni Tsh Elfu 25 Kwa Kila MitaMraba Moja. Kwaiyo Kama unataka MitaMraba 400 ( 20m kwa 20 ) utazidisha 25×400 Utapata bei halisi ya kiwanja unachotaka.
 
Naona bei ndio mtafutano kwa wenzangu na mimi
 
Watu wamenunua 20 kwa 20 mitaa hyo kwa 7 m. Viwili kwa 14 m.

Sina maana ya kuharibu biashara yako ila nawasihi watu watembee na kuuliza...before acting (in ur own time). Maeneo yanashuka sana saa hivi.
 
Only serious buyer
GOBA stand
Square meter 625
15m (fixed)
 
Yaani milion 10 kwa square meter 400,
Unataka kuuziwa Kwa bei gani mkuu? Sio lazima ukae Goba tafuta Sehemu nyingine ya Uwezo Wako. Çhanika Kuna Viwanja hadi Vya Laki tano Kakae huko ..
 
Watu wamenunua 20 kwa 20 mitaa hyo kwa 7 m. Viwili kwa 14 m.

Sina maana ya kuharibu biashara yako ila nawasihi watu watembee na kuuliza...before acting (in ur own time). Maeneo yanashuka sana saa hivi.
Vipo vya bei iyo ata mimi ninavyo nauza Ukitaka nicheki ila ni Skwata.
 
Kiwanja Kinzudi Street Goba
Direction:
Ukubwa : 20M × 20M
Kiwanja ni Skwata ( No Mgogoro)
Bei Tshs 8,500,000/-
((( 0685917621)))
 
Eti vinaoffer!!wajinga ndo waliwao!!Wewe offer umezipata wapi!?
 
SURVEYED Kiwanja Goba Kulangwa
Direction: 3Kilomita From Salasala Mwisho Wa Rami / 4Kilomita from Goba Stand
Ukubwa: 3500Sqm
Hati ( Title deed )
Bei : Tsh 40Milioni

(((0685 917621 ))))
 
Ndiyo bei huwa tunauza siku zote mkuu, Punguza ofu hela tutapata tu !!!

Ivi wewe hela unaijua lakini ?? Hehe
Watu tushatembea goba yote hyo tumeipangua yote (personal research) hzo bei bado ziko juu.

Hicho cha Goba street ndio wap ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…