MZALENDOWAKWELIKWELI
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 331
- 210
Ninauza hicho kiwanja kinayo hati original. Kina ukubwa wa sq 1,113, kiko Longido mjini karibu na H/Wilaya ya Longido, kinapakana na eneo itakapojengwa Hospitali ya Wilaya. Process ya mauziano tutaishirikisha H/Wilaya Afisa Ardhi na Mwanasheria ama namna yeyote mnunuzi atakayopendekeza. BEI NI NZURI MNO. Serious buyers ni'inbox.