Wauzie wajeshi mkuuSalama kabisa!
Nina surveyed plots in kigamboni mbele ya kimbiji kunaitwa PUNA na KWA CHALE.
Kwa chale ni karibu na JKT ya kimbiji.
Na pia ninavyo POTEA njia ya kwenda Tundwi.
Kutoka ferry
1. Kimbiji kwa chale ni 43km viko karibu na bahari na chuo cha maafisa wa JKT vinauzwa kuanzia 10,000 kwa sqm
2. PUNA ni 46 km hivi ndio viko karibu na bahari zaidi vinauzwa kuanzia 12,000 kwa sqm
3. Potea hivi ni mbali na bahali na hivi ndio tunaviuza kuanzia 9000 hadi 10000 kwa sqm
Call 0714227532
Potea ni kilomita ngapi kutoka ferry? naomba nijibu fasta niiweke hii factor katika kufanya maamuziSalama kabisa!
Nina surveyed plots in kigamboni mbele ya kimbiji kunaitwa PUNA na KWA CHALE.
Kwa chale ni karibu na JKT ya kimbiji.
Na pia ninavyo POTEA njia ya kwenda Tundwi.
Kutoka ferry
1. Kimbiji kwa chale ni 43km viko karibu na bahari na chuo cha maafisa wa JKT vinauzwa kuanzia 10,000 kwa sqm
2. PUNA ni 46 km hivi ndio viko karibu na bahari zaidi vinauzwa kuanzia 12,000 kwa sqm
3. Potea hivi ni mbali na bahali na hivi ndio tunaviuza kuanzia 9000 hadi 10000 kwa sqm
Call 0714227532
Poa kiongozi nahitaji viwanja viwili kwa ajiri ya wanangu hapo baadaye nitakucheki, nikiwa tayari, Mwaka jana nilinunua kiwanja maeneo ya Tundwi Centre hati nimepata majuzi japo kiwanja sijakiona sijajua kama kuna maendeleo yeyote kule nillikosa mda wa kwenda kuonyeshwa wakati surveyaor anapeleka waliouziwa, ulipotaja Tundwi inaonyesha una ABCs za Tundwi CentrePotea ni kama 47 km kutoka fery mkuu!
Tundwi nikama 10 km ama 7 km mbele kutoka potea.Poa kiongozi nahitaji viwanja viwili kwa ajiri ya wanangu hapo baadaye nitakucheki, nikiwa tayari, Mwaka jana nilinunua kiwanja maeneo ya Tundwi Centre hati nimepata majuzi japo kiwanja sijakiona sijajua kama kuna maendeleo yeyote kule nillikosa mda wa kwenda kuonyeshwa wakati surveyaor anapeleka waliouziwa, ulipotaja Tundwi inaonyesha una ABCs za Tundwi Centre
ThanksTundwi nikama 10 km ama 7 km mbele kutoka potea.
Halafu hivyo potea ni barabarani kabisa kama umewahi fika tundwi basi hapo kwenye junction ya barabara inayotoka kimbiji na ile inayotoka mwasonga
Mkuu uliishia wapi kufanya maamuzi nunua maeneo kwangu basiPoa kiongozi nahitaji viwanja viwili kwa ajiri ya wanangu hapo baadaye nitakucheki, nikiwa tayari, Mwaka jana nilinunua kiwanja maeneo ya Tundwi Centre hati nimepata majuzi japo kiwanja sijakiona sijajua kama kuna maendeleo yeyote kule nillikosa mda wa kwenda kuonyeshwa wakati surveyaor anapeleka waliouziwa, ulipotaja Tundwi inaonyesha una ABCs za Tundwi Centre
Sorry kk, nilikuwa namaanisha hvyo vya puna ambavyo viko karibu na bahariHivyo vya potea ni mbali na bahari kaka na ni 47kms kutoka ferry
Kaka vyanzo nilivyokua navitegemea vimerushiwa rushiwa mchanga balaa, (Mimi ni mtumishi wa umma). Nina mda mrefu sasa natafuna kamshahara kangu tu, ngoja upepo huu upite huwenda wazo la kufanya masuala ya maendeleo litarudi tenaMkuu uliishia wapi kufanya maamuzi nunua maeneo kwangu basi
Hahahahahahaha pole kaka nimecheka sana!Kaka vyanzo nilivyokua navitegemea vimerushiwa rushiwa mchanga balaa, (Mimi ni mtumishi wa umma). Nina mda mrefu sasa natafuna kamshahara kangu tu, ngoja upepo huu upite huwenda wazo la kufanya masuala ya maendeleo litarudi tena
Unauza kuanzia sqm ngapi?Vya karibu na bahari ni ndani ya 800m na vingine viko 400m na vingine viko ndani ya 120m kutoka bahari.
Umeme umepita kwenye viwanja kabisa