Survival of the fittest, ukilemaa umeliwa

Survival of the fittest, ukilemaa umeliwa

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
msosi.jpg
 
duuuh hii bila shaka ni kwenye mikutano ya JK..maana mnacheza muziki kwanza,mnagonga pilau then ndo kwenda kumsikiliza bwana miradi ....
 
Hao wababa wazima hawana manners kabisa za mlo!...wanakula ka nguruwe bana!
 
Hiyo mifupa(mbavu) sio kiti moto kweli? na walaji wako ndani ya kanzu....inaonekana kama ni ofisi ya mtu maana kuna carpet la nguvu na mahotpot hayo...Manji nini?
 
Back
Top Bottom