PreGE2025 Susan Lyimo: Kususia uchaguzi ni kama kumuachia ngedere shamba la mahindi, sisi tutazuia hatususii

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA, Susan Lymo asisitiza kuwa msimamo wa chama hicho ni kuzuia uchaguzi sio kususia aomba wananchi waunge mkono.
View attachment 3336847
Mmeelewaka sana Da Suzy,

Shikilieni hapo hapo, kwani nyie ndio Tumaini la watanzania kwa sasa

wale njaa55 na makuwadi wao tangu ziku nyingi walikuwa ni makuwadi wa CCM na ruzuku
 
Mmeelewaka sana Da Suzy,

Shikilieni hapo hapo, kwani nyie ndio Tumaini la watanzania kwa sasa

wale njaa55 na makuwadi wao tangu ziku nyingi walikuwa ni makuwadi wa CCM na ruzuku
Kwa kweli wale mbwa njaa 55 watajilaani maisha yao yote.
 
Kwa kweli wale mbwa njaa 55 watajilaani maisha yao yote.
Kumbe hujawajua wanasiasa. Wale watarejea baadhi Yao na hoja nyingine dhaifu. Ngoja huko waendako wagundue hamna ulaji
 
MNAUZUIAJE? HAPO NDIYO HUWAGA MNASHINDWA KUSEMA MNAISHIA KUSEMA MNAOMBA WANANCHI WAWAUNGE MKONO NYAMBAFU MMESHINDWA
 
MNAUZUIAJE? HAPO NDIYO HUWAGA MNASHINDWA KUSEMA MNAISHIA KUSEMA MNAOMBA WANANCHI WAWAUNGE MKONO NYAMBAFU MMESHINDWA

Ukiona huelewi ujue ipo nje sana ya uwezo na ufahamu wako, kwani una elimu gani mkuu? Magazijuto kwako haya waachie wanaoelewa. Dunia ina mambo mengi sana fanya unayoyalewa tu maisha yaendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…