Wazungu wakipenda wamependa kweli siyo nusunusu au roborobo kama mataifa mengine. I wish hii forum ingekuwa 'adult' one, ningefunguka kiukubwa zaidi juu ya hawa wadada kutoka uingereza na amerika. Wana'penda' sana waafrika hawa.
Caveat: Sijasoma hiyo link ya nation!