Susi na Chuma

Susi na Chuma

WilsonKaisary

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
392
Reaction score
949
KWENYE PICHA

Kwenye picha hii kuna watu Wanne.
Hao wanaume Weusi
Mmoja ni Susi
Na mwingine ni Chuma Wakiwa Nchini Uingereza Kwenye Mazishi.

Chuma na Susi ndio Waafrika Pekee waliobeba Mwili wa Dr.Livingstone, kutoka Chitambo nchini Zambia alikofia Mpaka Bagamoyo ambapo Huko mwili wa Dr.Livingstone ulisafirishwa Kwenda Nchini Uingereza miaka ya 1873. Hapo walipo ni nchini Uingereza, ambapo Chuma na Susi walialikwa Kwenye Mazishi ya Dr.Livingstone huko Nchini Uingereza.

Huyo Mwanamke na Mwanaume hapo ni moja ya Watoto wa Dr. Livingstone. Na Huyo Mwanamke hapo mtoto wake mmoja alikuwa mmoja ga Wajukuu na vitukuu vya Dr. Livingstone walifika nchini Tanzania miaka ya 2012. Na kutembelea sehemu zote ambazo Dr. Livingstone alitembelea.

Na huyo mwanaume mzungu hapo ni mchungaji. Na ukiangalia kwa chini, unaweza kuona ngozi ya Simba imetandikwa hapo. Hiyo ngozi ya Simba ilikuwa moja ya Zawadi waliobeba Susi na Chuma kutoka huku Afrika.

Na pia Baadhi ya Sehemu za Mwili wa Dr.Livingstone ziliachwa baadhi ya Sehemu ambazo Dr.Livingstone alipata Kukaa. Kwa mfano Huko Tabora kwenye makumbusho ya Kwihala Kuna nywele za Dr. livingstone.

Susi.jpg
 
Picha zingine zipo wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom