Susy kafiwa na Dada yake leo asubuhi

Pole sana Suzy
Mungu awape nguvu wote katika kipindi hiki cha majonzi
 
Pole sana SUZY na ndugu wote, Mungu awape nguvu, uvumilifu na faraja katika kipindi hiki kigumu. Pumzika kwa amani dada.
 

Attachments

  • images.jpg
    2.3 KB · Views: 92
Jipe moyo mkuu Susan. It pains pale unapolikosa tabasamu lake na ushauri, lakini kumbuka ndiyo safari yetu sote, tatizo mtu akitangulia anatuachia majonzi.

RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA,
NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZE.
APUMZIKE KWA AMANI.
AMINA.
 
Pole sana Da' Suzy, sisi tulimpenda Dada yetu, lakini Mungu amependa zaidi.
 
Pole Susy, Mungu awape wafiwa wote moyo wa uvumulivu katika kipindi hiki kigumu.

Dena asante kwa taarifa.
 
Pole sana Sussie.

Mungu akupe moyo wa uvumilivu na dada yetu aRIP. AMEN.
 

dah! pole susy, aisee.
hapo red umenipoteza dena.
 
Asante Da Dena kwa taarifa,
Mungu ampe faraja da Suzy katika kipindi hiki kigumu!
Pole sana da suzy .
 
poleni sana wafiwa wote.

yote ni kazi ya Bwana, haina makosa

Jina la Bwana na lihimidiwe
 
Pole sana susy, mungu akutie nguvu

dena tunashukuru kwa taarifa
 
Pole sana SUSY. Hiyo yote ni mipango M/MUNGU. Uwe na subira. Njia yetu ni moja tu yeye katangulia na sisi tumafuata. Mungu amjaalie marehemu anakokwenda kuwe kuzuri. Ameen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…