Kama haujui sehemu ya kumtajia si mnyamaze kwani ni lazima muandike utumbo kwenye thread kama hamna majibu?
mie naona wengin humu JF wapo na maisha ya kuboreka, maana kama uwezi jibu songa mbele.
mjue majibu hayatamsaidia muulizaji tu, bali na wengine wengi watakaotaka.
Tena ni bora JF wangeweka sehemu ya fashion labda ingesaidia pia.
Muulizaji mie sijui ila blog ya 8020 fashions huwa inamatangazo, na niliona ya kuuza suti labda wao nao watakueleza zaidi na kukusaidia uitakayo kwao au kwengine.