Suti za kiume

Suti za kiume

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,430
Reaction score
1,785
Habari wadau. Naomba kufahamishwa ni wapi ntapata suti za kiume za gharama nafuu kuanzia laki moja kwa Dar es salaam.
 
Nenda kariakoo...never underestimate the power of Kariakoo...Ninachojua,mwanaume ambae hana suti nyeusi anatakaiwa achunguzwe akili.Suti nyeusi ni uniform yetu wanaume
 
Back
Top Bottom