Suti za wachambuzi wa Azam sports hazina viwango. Wajifunze kwa wenzao UK

Suti za wachambuzi wa Azam sports hazina viwango. Wajifunze kwa wenzao UK

Zama zimebadilika mkuu..mbona iko fresh tu..au ulitaka avae mibwanga..🤣
 
Nyie ndo wale mataqle mnaotaka kujifananisha na wengine ktk kila kitu na nara nyingi hamnaga furaha.

Ishi maisha yako bro!!!😂😂😂
 
Ali Mayai na wenzanke wanavaa suti zimewabana na zinaonyesha kushonwa na mafundi ambao hawana viwango kabisa.

Azam Tv wanapata pesa nyingi kupitia matangazo ya soka. Kwa nini wasiwanunukie wachambuzi suti za ukweli?
Kwani we ulikua unaona ni suti hizo
Ni shati, koti na suruali

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Wabongo wana majungu jamani, dah!
Kwa mfano huyu dada aloleta hii thread sipati picha anaishije na mumewe.

Yeye mwenyewe hata kizibao hana kazi kukalia majungu. Ila jua umbea hauna posho.

Wanawake wengine bhana [emoji1787][emoji1787]
 
Kwa mfano huyu dada aloleta hii thread sipati picha anaishije na mumewe.

Yeye mwenyewe hata kizibao hana kazi kukalia majungu. Ila jua umbea hauna posho.

Wanawake wengine bhana [emoji1787][emoji1787]
Sisi tunasikiliza uchambuzi kumbe yeye anakagua suti za Kariakoo au Mlimani City. Noma sana!
 
We mbona unaandika uzi ukiwa chupi ya jero tu.
Au kwa kuwa Azam hawaja kuzoom
 
Back
Top Bottom