Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Zile za majuu huzioni?Zama zimebadilika mkuu..mbona iko fresh tu..au ulitaka avae mibwanga..🤣
Ulitaka tujadili makalio yako?Daah hadi suti zinasemwa
Kwani we ulikua unaona ni suti hizoAli Mayai na wenzanke wanavaa suti zimewabana na zinaonyesha kushonwa na mafundi ambao hawana viwango kabisa.
Azam Tv wanapata pesa nyingi kupitia matangazo ya soka. Kwa nini wasiwanunukie wachambuzi suti za ukweli?
Huna adabu kabisa umbwa weweUlitaka tujadili makalio yako?
Kwa mfano huyu dada aloleta hii thread sipati picha anaishije na mumewe.Wabongo wana majungu jamani, dah!
Sisi tunasikiliza uchambuzi kumbe yeye anakagua suti za Kariakoo au Mlimani City. Noma sana!Kwa mfano huyu dada aloleta hii thread sipati picha anaishije na mumewe.
Yeye mwenyewe hata kizibao hana kazi kukalia majungu. Ila jua umbea hauna posho.
Wanawake wengine bhana [emoji1787][emoji1787]