Suti zinazo paswa kuvaliwa na mtangazaji wa t.v

Suti zinazo paswa kuvaliwa na mtangazaji wa t.v

Safi josee I miss u jaman
Nipo Dear
2bcf7cde849cdd16eb78caba8c0be41c.jpg
 
Habari zenu wadau?
Naomba kujua rangi rasmi za suti ambazo zinatumika na watangazaji wa tv..Je? Leo mtangazaji wa itv kavaa suti ya pinki ni sahii??
Mara nyingi nimeona wavaaji wa suti za pink wakihusihwa kuwa ni pimps (makuwadi).
 
Back
Top Bottom